CITY TYCOON :NATAMANI KUFANYA KAZI NA HARMONIZE
Msanii Wa Muziki Kutoka Nchini Uganda Ambaye Makazi Yake Zaidi Ni Nchini Marekani City Tycoon Ambaye Tangua Aanze Kufanya Muziki Rasmi Siku Si Haba Lakini Ni Moja Ya Msanii Anayechipukia Kwa Kasi Kubwa Sana Kwa Hivi Sasa Akiwa Anawakilisha Nchini Uganda .
City Tycoon Ambaye Alifanya Remix Ya Parte After Parte Na Kuipa Jina La Money After Money Ni Moja Kati Yakazi Iliyofanikiwa Kwa Asilimia Kubwa Sana Na Pia Alifanikiwa Kufanya Remix Ya Wimbo Wa Harmonize Bedroom Ambao Unatoka Katika Album Ya Harmonize Afro East.
Hivi Karibuni City Tycoon Ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Ambayo Ameupa Jina La Baby Girl Video Ambayo Imefanyikia Huko Nchini Marekani Na Kukamilika.
Unaweza Kutazama Video Hiyo Kupitia Channel Yake Ya Youtube Na Pia Kumfatilia Katika Mitandao Yake Ya Kijamii Kwa Taarifa Zake Zaidi.
No comments:
Post a Comment