Breaking

Sunday, December 20, 2020

AUDIO | Billy Kym - Same Page | Download

 

Offa Offa EWE MSANII Records Wimbo wako STUDIOS Kwa Garama ya Elf 70 > Chini ya Producerd


Mkubwa R.NAME 

Utakapo LIPIA ELF SABINI Wimbo wako UKISHA Kama Utakua na Kipaji Utasimamiwa kazi Zako kwa MKATABA

Kwa MAWASILIANO ZAIDI MPIGIE Producerd R.NAME>  +255718589352  AU  +255784120592

BILLY KYM:KIJANA DAKTARI ALIYEJIKITA KATIKA MUZIKI.

Kutana Na Daktari Ambaye Ana Mapenzi Zaidi Na Muziki,Anaitwa Billy Kym Mwanamuziki Kutoka Nchini Kenya Ambaye Amekuwa Akipata Taaluma Yake Ya Udaktari Huko Nchini Finland Kwa Miaka Kadhaa Sasa.

Billy Kym Ambaye Licha Ya Kutingwa Na Kazi Na Masomo,Muziki Ni Moja Ya Jambo Ambalo Amehakikisha Analipatia Muda Zaidi Ili Kuweza Kufanikisha Ndoto Yake Katika Muziki.

Billy Kym Mpaka Sasa Amefanikiwa Kuchia Kazi Kadhaa Ikiwemo,Apologize,Queen,Medication,First Time Na Hivi Sasa Ameachia Rasmi Wimbo Wake Mpya Uitwao Same Page Ukiwa Umetayarishwa Chini Ya Richmindimaging Na  Kutengenezwa Na Henzov, Pamoja Na Ernest Canto Na Video Nzima Imefanyikia Huko Huko Nchini Finland.

Sasa Unaweza Kutazama Video Hii Na Kutoa Maoni Yako ,Vile Vile Unaweza Kuwa Karibu Na Billy Kym Kwa Kumfuata Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram @Billykym1.



No comments:

Post a Comment

Pages