Offa Offa EWE MSANII Records Wimbo wako STUDIOS Kwa Garama ya Elf 70 > Chini ya Producerd
BILLY KYM:KIJANA DAKTARI ALIYEJIKITA KATIKA MUZIKI.
Kutana Na Daktari Ambaye Ana Mapenzi Zaidi Na Muziki,Anaitwa Billy Kym Mwanamuziki Kutoka Nchini Kenya Ambaye Amekuwa Akipata Taaluma Yake Ya Udaktari Huko Nchini Finland Kwa Miaka Kadhaa Sasa.
Billy Kym Ambaye Licha Ya Kutingwa Na Kazi Na Masomo,Muziki Ni Moja Ya Jambo Ambalo Amehakikisha Analipatia Muda Zaidi Ili Kuweza Kufanikisha Ndoto Yake Katika Muziki.
Billy Kym Mpaka Sasa Amefanikiwa Kuchia Kazi Kadhaa Ikiwemo,Apologize,Queen,
Sasa Unaweza Kutazama Video Hii Na Kutoa Maoni Yako ,Vile Vile Unaweza Kuwa Karibu Na Billy Kym Kwa Kumfuata Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram @Billykym1.
No comments:
Post a Comment